Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

So far,

Tchuameni hajaperform vema. Griezman pia.

Nategemea kipindi cha pili wapumzike.
 
Screenshot_20221204-173829_Instagram.jpg
Mchezaji ambaye haimbwi sana kwenye hii WC,ila anaupiga mwingi. Morocco kila nikiwatizama na waona wanafika nusu.

Huyu jamaa naona karudi kwenye peak yake kama alivyokuwa Ajax.
 
Back
Top Bottom