Mimi mjerumani na naichukia sana Brazil lakini mwaka huu pamoja na chuki yangu kwao naipa nafasi Brazil,wana nafasi kubwa sana ya kubebaWajerumani tujuane mapema sana, mwaka wetu huu
Yaan ww n mm kabisaaaaaaaNaturally nasimama na Brazil na Cameroon.
Ila nitaingeza na Argentina sababu ya Messi, Spain sababu ya Barcelona, Ghana na Senegal sababu ya Uafrika
Font zipi mkuu?Greatest Of All Time mkuu naomba kujua official font za mwaka huu zinaitwaje
Aina ya herufi,kama Russia ziliitwa Dusha fontFont zipi mkuu?
Hao wachezaji wa ufaransa hawana cha kupoteza wameshinda makombe yote wakiichezea timu yao ya Taifa ikiwemo kombe la Dunia lenyewe japo najua itawauma kutokushiriki mwaka huu.
SafiDavido, Kiz daniel, Patorank wanaigeria kutumbuiza ufunguzi..
Thiago silva,Dan alves DuhHawa hapa Brazil View attachment 2409512
Safari bila wazee haiendiThiago silva,Dan alves Duh