Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Labda kama unazungumzia historia ila kwa current form ya hii michuano ya WC Morocco yupo vizuri kuliko Spain.
Kuwa vizuri ni kabla ya Mtoano, inapofika mtoano nakuambia historia na ukubwa wa timu zina nafasi yake

Subiri uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…