Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Namuona yuko byeee kuliko Neymar...View attachment 2435811Mchezaji ambaye haimbwi sana kwenye hii WC,ila anaupiga mwingi. Morocco kila nikiwatizama na waona wanafika nusu.
Huyu jamaa naona karudi kwenye peak yake kama alivyokuwa Ajax.