vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Kwa Form waliyokuwa nayo Morocco kwenye michuano hii haitokiwa surprise kushinda.Ukitaja timu tatu zilizo perform vizuri WC hii Morocco ipo.
Unaniaibisha sasa mkuu😂Nije wapi boss
At this particular juncture anything can happen
Hawa polland wabaguzi wanatafuta goli kwa nguvu
Karibu team no stress hatutumii nguvu ila magoli yapoSawa babe nmekubari kuanzia kesho tu naanza kushabikia team zako
Yeah ni kweli kabisa, sema nawaamini sana France huwa hawana mambo mengi sana linapokuja suala la kutaka matokeo sahihi..Bado safari ni ngumu tuwe wapole lolote laweza kutokea
Sasa huyo Spain si ashukururu kukutana na mchovu Costa Rica la sivyo naye angetoka.Nakubali kwenye group stage morocco amepafom vizuri sana
Ila kipimo cha mechi kubwa ilikuwa Croatia
Ubelgiji ni km walikuja kukamilisha ratiba tu
Nenda kwao kidogo uishi nao kama miez kadhaa hivi utapata majibuUbaguzi wa poland ni upi
lipia nkufundishe cha kushabikia mpiraNaomba darasa la jioni la kingereza
Acha jilasiiMhh wivu