Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nakubali kwenye group stage morocco amepafom vizuri sana

Ila kipimo cha mechi kubwa ilikuwa Croatia

Ubelgiji ni km walikuja kukamilisha ratiba tu
Kwa Form waliyokuwa nayo Morocco kwenye michuano hii haitokiwa surprise kushinda.Ukitaja timu tatu zilizo perform vizuri WC hii Morocco ipo.
 
Back
Top Bottom