Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

View attachment 2435811Mchezaji ambaye haimbwi sana kwenye hii WC,ila anaupiga mwingi. Morocco kila nikiwatizama na waona wanafika nusu.

Huyu jamaa naona karudi kwenye peak yake kama alivyokuwa Ajax.
Acha kukaza fuvu hakuna timu ya Africa inayoweza kufika nusu final hata bara zima likiungana ....

Africa Ni Africa tu ,likaja swala la mtuona utawaonea huruma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..mfno Ni Ghana kwenye game ya mhimu kabisa hata draw imemshinda ...
 
Sasa kati yangu mimi na wewe nani anayekaza fuvu, acha kukalili.
 
Mimi nilishasema haya matimj yaliyoingia kimchongo 16 Bora ni kupigwa tu ,hakuna namna ...

Timu Kama et Japan ,Korea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…