Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Mbape anaitendea haki sana timu yake.Yeah ni kweli kabisa, sema nawaamini sana France huwa hawana mambo mengi sana linapokuja suala la kutaka matokeo sahihi..
Vile vile timu inamuunganiko mzuri sana