Kuna uwezekano wa kutetea taji laoUfaransa wanacheza mpira mnono sana
Akiba ya maneno ni nzuri sana....Halafu mnataka kuilinganisha ufaransa na hao ajentina. Messi na Co watanyukwa nje ndani na ufaransa.
Sema bwana, kila timu inapoadvance stage nyingine, uwezo unaongezeka...
Zamani walikua wanavaa tu mpaka hereni,tafuta clip mechi za zamani za Colombia utamuona Carlos Valderama alikua anavaa heteni ndefu na cheni kibao tu.Niliona clip ya goal la marehemu Popa Diop, alipovua shati alikuwa amevaa cheni. Nikajiuliza kumbe zamani walikuwa wanaruhusiwa kuvaa hiyo mikufu, huenda siku hizi wameanza kuikataza kama huyo Kounde kavuliwa
[emoji23][emoji23]kabis yaniMlilete in advance [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Bora kuliko Messi
Mbappe kaongeza huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unavyo mhate shotiii hadi huruma
Kabisa,nimeona hvo piaHawa ufaransa wanavyocheza kule mbele mbona kama vile siwaelewi, unaweza kuhisi Wana maelekezo kabisa ya kumpa mpira Mbape pindi wanapoenda kushambulia
Movement nyingi Giroud ndio anakuwa kwenye position nzuri ila hapewi mpira anatafutwa Mbape alipo au ndo kusema wachezaji wenzie hawamuamini au vipi
Na hasa kama mpira umetokea Kwa Hernandez ndio kabisa, ye mipira yote anapiga v pass ili kumtafuta Mbape na hapigi pass kwenda Kwa Giroud
Nimeona pia mara kadhaa kutokea upande wa Griezman pia, isije kuwa ufaransa nawao wanataka kutengeneza Ronaldo au Messi wao