Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Niliona clip ya goal la marehemu Popa Diop, alipovua shati alikuwa amevaa cheni. Nikajiuliza kumbe zamani walikuwa wanaruhusiwa kuvaa hiyo mikufu, huenda siku hizi wameanza kuikataza kama huyo Kounde kavuliwa
Zamani walikua wanavaa tu mpaka hereni,tafuta clip mechi za zamani za Colombia utamuona Carlos Valderama alikua anavaa heteni ndefu na cheni kibao tu.
 
Mpira anaucheza na hukuti watu wakim edit na mashuka
 
Hawa ufaransa wanavyocheza kule mbele mbona kama vile siwaelewi, unaweza kuhisi Wana maelekezo kabisa ya kumpa mpira Mbape pindi wanapoenda kushambulia

Movement nyingi Giroud ndio anakuwa kwenye position nzuri ila hapewi mpira anatafutwa Mbape alipo au ndo kusema wachezaji wenzie hawamuamini au vipi

Na hasa kama mpira umetokea Kwa Hernandez ndio kabisa, ye mipira yote anapiga v pass ili kumtafuta Mbape na hapigi pass kwenda Kwa Giroud

Nimeona pia mara kadhaa kutokea upande wa Griezman pia, isije kuwa ufaransa nawao wanataka kutengeneza Ronaldo au Messi wao
Kabisa,nimeona hvo pia
 
Back
Top Bottom