Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nani aliyekuna na timu zenye upinzani?Mfaransa mpaka sasa hajakutana na team yenye upinzani mkubwa
Australia
Denmark
Tunisia
Poland
Kwa team alizokutana nazo France unaweza ukaona anachukua tena world cup
Lakini nakuhakikishia hapa
Kuanzia sasa kwenda mbele ndo tutajua ubora wa team
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Lugha gongana ya NgwairAisee hizi mambo zenu za upinde sasa mnataka kuzipeleka mbali Sana
Ni kawaida sana Kwa wachezaji wa mpira wao Kwa wao au na kocha wao kupigana vibao vya makalioni
Huwa wanafanya hivo kama ishara ya kumtakia mchezaji all the best, au kumpa motisha,au kuridhishwa na kiwango alichoonesha mchezaji katika mechi husika
Na wala sio kwao tu ni Dunia nzima hii utaiona, kuanzia Bongo Hadi huko uarabuni, fatilia pia ligi yetu ya NBC utaona hicho kikitokea
Kwahiyo sidhani kama ni vizuri Kwa kila kitu kuhusisha na mambo ya ushoga na kufanya mazuri yanayotokea kwenye kombe la Qatar hayapewi nafasi ila tunabaki tunavipa airtime vitu ambavyo sio lengo
Mwisho ni leoNipo na senegal hadi mwisho ila fainali naitamani France na Brazil
Hujachelewa, ENG vs SEN wape GG, weka 50k kesho unywe supu na maparachichi pembeni🤣🤣🤣Sijui nimechelewaje mechi za Leo ni mserereko.
Ndo palikuwa pa kujifunzia betting.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Niweke elfu 50 kwenye betting?Hujachelewa, ENG vs SEN wape GG, weka 50k kesho unywe supu na maparachichi pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SawaHongereni France
Naanzaje kutembea na huo Mkeka umekosewa.Tembea nao ila utajua hujui [emoji3][emoji3][emoji3]
Haya weka 10k mkuu, maisha bila risk hatufiki🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah basi, hapa naona mahaba..siwezi tenganisha mahaba[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena wamuache kabisa wasimguse[emoji1787][emoji1787]
Brand mkuu, brand ya Messi na Ronaldo ni biashara kubwa. Unakumbuka move ya Beckham kwenda PSG ilivyovuna pesa? Ukiona Ronaldo au Messi anauzwa/ananunuliwa, sio kwa mpira tena, ni biashara.
Abeeee!!!!
Utu na utulivu, inahitaji akili kubwa kukuelewa, sie average ni ngumu kuelewa hapa🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inahitaji utu na utulivu kuelewa