Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mfaransa mpaka sasa hajakutana na team yenye upinzani mkubwa

Australia
Denmark
Tunisia
Poland

Kwa team alizokutana nazo France unaweza ukaona anachukua tena world cup

Lakini nakuhakikishia hapa

Kuanzia sasa kwenda mbele ndo tutajua ubora wa team

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyekuna na timu zenye upinzani?

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Aisee hizi mambo zenu za upinde sasa mnataka kuzipeleka mbali Sana

Ni kawaida sana Kwa wachezaji wa mpira wao Kwa wao au na kocha wao kupigana vibao vya makalioni

Huwa wanafanya hivo kama ishara ya kumtakia mchezaji all the best, au kumpa motisha,au kuridhishwa na kiwango alichoonesha mchezaji katika mechi husika

Na wala sio kwao tu ni Dunia nzima hii utaiona, kuanzia Bongo Hadi huko uarabuni, fatilia pia ligi yetu ya NBC utaona hicho kikitokea

Kwahiyo sidhani kama ni vizuri Kwa kila kitu kuhusisha na mambo ya ushoga na kufanya mazuri yanayotokea kwenye kombe la Qatar hayapewi nafasi ila tunabaki tunavipa airtime vitu ambavyo sio lengo
Kuna Lugha gongana ya Ngwair

Alafu kuna Tamaduni gongana ya Qatar ndo io apo
 
Three Lions' XI

Pickford, Walker, Stones, Maguire, Shaw, Rice, Bellingham, Mount, Saka, Kane, Foden.
 
England XI: Pickford, Walker, Stones, Maguire, Shaw; Bellingham, Rice, Henderson; Saka, Kane, Foden.
 
Hakuna timu inayomhitaji ronaldo ulaya kwa sasa kwasababu uwanjani mchango wako ni chini ya asilimia hamsini

Ndio maana hata kocha wa timu ya taifa anampa half moja kucheza then anampumzisha


Ila Messi uwanjani anakupa kila kitu ukiacha sababu za kibiashara
Brand mkuu, brand ya Messi na Ronaldo ni biashara kubwa. Unakumbuka move ya Beckham kwenda PSG ilivyovuna pesa? Ukiona Ronaldo au Messi anauzwa/ananunuliwa, sio kwa mpira tena, ni biashara.
 
Back
Top Bottom