HahahaUzi upo spid mpk seva inachanganyikiwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapuuzi watupu
Viwango tu.. maana hata Ufaransa wengi si WazunguWazungu wanajua kutumia nfs, senegal amecheza sn sn lkn hawakua na utulivu
Bqdo sijaona kosa kubwa la Senegal, technical mistakes ni kitu cha kawaida kwenye sokaNdo tofauti ya nchi za ulaya na Africa..
Africa kuna talent,... Ila Ulaya mpira unachezwa kichwani...
Talent gani ipo Afrika?Ndo tofauti ya nchi za ulaya na Africa..
Africa kuna talent,... Ila Ulaya mpira unachezwa kichwani...
We jamaaa kopo tupu sana eti wetu ww na mama yakoSikutegemea Handerson wetu atafunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dunia Ina makuu
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
YNWA[emoji91][emoji7][emoji108]Hende Kufunga Ni Liverpool Imefungaa.
Hahaha....!Ndio tofauti hiyo.. mnashambulia weeeeeee finally mnapigwa.