Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa ufaransa wanavyocheza kule mbele mbona kama vile siwaelewi, unaweza kuhisi Wana maelekezo kabisa ya kumpa mpira Mbape pindi wanapoenda kushambulia

Movement nyingi Giroud ndio anakuwa kwenye position nzuri ila hapewi mpira anatafutwa Mbape alipo au ndo kusema wachezaji wenzie hawamuamini au vipi

Na hasa kama mpira umetokea Kwa Hernandez ndio kabisa, ye mipira yote anapiga v pass ili kumtafuta Mbape na hapigi pass kwenda Kwa Giroud

Nimeona pia mara kadhaa kutokea upande wa Griezman pia, isije kuwa ufaransa nawao wanataka kutengeneza Ronaldo au Messi wao

Ukweli mtupu, Ni ujinga tu. Hii mechi Giroud angeliondoka na Hattrick kama si upuuzi wao.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pua afrikan
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom