Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
🤣🤣🤣🤣Duh Senegal [emoji1211] amekuwa kama mwanaume gasho binafsi naenda kulala nasubiri game za kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Duh Senegal [emoji1211] amekuwa kama mwanaume gasho binafsi naenda kulala nasubiri game za kesho
Pole sho, leo mm nashabikia england. Timu za africa sitak tena yn ni kujipa presha.Wasenegali ngoja tukajilalie zetu
Muargentina mwenzangu tusubiri siku yetu ya kukaa na kusimamankwa wakat mmojaWamefungwa senegal mkuu, usitupee mzigo wengine.
[emoji28][emoji28] kila mtu abebe msalaba wake kama Konde boy yaw yaw!!!
Kipa wa Senegal anajitahidi sana,maana nae anaelemewa kila sekunde mpira upon upande wake.Maana take viungo wao wamezeidiwa.sema kipa wa Senegal anavojiposition
Tumefikia malengo ya First Half kwa idadi ya magoli
Tumewapelekea babu wetu na anafanya makuu huko WC[emoji7][emoji108]
Uzalendo utatuponza walah tupate preshaPole sho, leo mm nashabikia england. Timu za africa sitak tena yn ni kujipa presha.
Ndio hivyo ndugu yangu, matumaini ni hamna kwa sasa. Si kwa hizi goli mbili tulivyopigwaDuh! Yaani ndo tumetoka ivo eti🤔
Tumefikia malengo ya First Half kwa idadi ya magoli
Wakishambulia wanajisahau wanaacha nafasi, uingereza wana mpira wa counter sio poa, half space tu lazima wakuadhibu.Senegal sijui wanacheza rede.
Kosa ni akili hakuna, wamepata chance nyingi lakini hawana formation nzuri ya umaliziaji, wakienda wanajisahau kurudi mapemaBqdo sijaona kosa kubwa la Senegal, technical mistakes ni kitu cha kawaida kwenye soka
Mentality tu.Wazungu ni binadamu tu kama sisi. Senegal wamechanganyikiwa tu. Wakitulia wanaweza rudisha na kushinda. Ila how jamani wanamwachia Harry space namna hiyo ?Wazungu ni hatari wazee huwezi kushindana na mtu anaitwa mzungu