Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #461
Timu imejaa mabrazamen tu ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu imejaa mabrazamen tu ile
Hawa wachukue kombe hawa 😆
Usijali wewe mwagilia moyo nikipata picha nzuri nitaziweka hapaHawa wachukue kombe hawa 😆
Mwanangu tupia picha nyingi uwezavyo nipo mahali napata 🍺 huku napitia hii thread vibe nalopata sio la nchi hii😃
Wana kikosi kizuri ila wakimtegemea cr7 tu pale mbele wameisha huyu ni dk 5 tu za mwishoni timu ikiwa inaongozaKikosi cha UrenoView attachment 2421201
Yeye alivyo mbinafsi lazma atalazimisha achezeWana kikosi kizuri ila wakimtegemea cr7 tu pale mbele wameisha huyu ni dk 5 tu za mwishoni timu ikiwa inaongoza
Hawa mabitozi unaweza sema hawajui hata kupiga danadana
Masaka kids?Kikundi hiki cha utumbuizaji cha watoto kutoka Uganda kimealikwa katika sherehe za ufunguzi hiyo keshoView attachment 2421200
Dah hizi tatoo kwa wachezaji ndio imwkuwa fashion kabisaWenye kombe letu tunawangalia tu [emoji57][emoji57]View attachment 2420834
Nyodo za hela hizoKwa usafiri wa mabasi kwa timu zote shiriki, watakuwa wanatumia mabasi ya Hyundai na wakimaliza mashindano wataruhusiwa kurudi nayo nyumbani
Mwananchiii kweli wee unapenda yellowWinner atakuwa kati ya Brazil, Argentina, Spain or France...
Nitashabikia timu zote za Africa, ila zikicheza na Brazil, Africa itanisamehe nitashangalia timu yangu ya miaka yote Brazil 💛
Ureno hawana mkufunzi, wana muhuni aliyezeeka.Kikosi cha UrenoView attachment 2421201
Kati ya timu zangu pendwaWa-dutch nao wako njema
Inshallah 🙏🙏🙏Argentina will be the winner of world cup 2022. Senegal atafika nusu fainali.
Senegal ipi? Hii ambayo Mane yupo Mloganzila?Senegal inatoboa