Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #841
Mtangazaji anakwambia hii ndio World Cup ya gharama zaidi kuwahi kufanyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sanaSpeech ya ufunguzi ni fupi tu yani.Hiyo nafasi ya kutoa speech angepewa Kikwete aijui ingekuaje!?
Balaa ni mtwara na kigoma, utazani nchi mbili tofautiUkitaka kushangaa uliza watu wa Kigoma, yani wakati mwanza kigiza cha saa 1 kimeanza kushamiri, mtu wa kigoma anakwambia anaenda sokoni[emoji23].
Hawa jamaa hawaongei English Mana sie blacks ukiongea English Kama kaufahari fulani kuwa umesoma na pia Wana mavazi yao sijaona wakitukuza suti kuwa ndio vazi la heshima.View attachment 2383741
Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini ni mara ya pili kwa michuano hiyo kufanyika katika bara la Asia mara baada ya Korea Kusini na Japan kuandaa kwa pamoja mwaka 2002.
Pia michuano ya mwaka huu, ni kwa mara ya kwanza kufanyika nje ya utaratibu uliozoelekea wa mwezi May, June au July. Michuano ya safari hii itafanyika mwezi November mpaka December kutokana hali ya hewa kuwa rafiki tofauti na joto kali la miezi ya May, June au July.
Qatar ambao ni wenyeji wa michuano hiyo, itakuwa ni mara yao ya kwanza kufuzu toka Kombe la Dunia lianzishwe. Hivyo wametumia vyema nafasi ya mwenyeji kufuzu automatic.
Kombe la Dunia la mwaka huu 2022 litakuwa la mwisho kushirikisha timu 32 kama ilivyo katika utaratibu wake.
Kuanzia michuano ijayo ya mwaka 2026 itakuwa inashirikisha timu 48.
Mpira wa Kombe la Dunia la mwaka huu, unajulikana kama "Al Rihla" ikiwa na maana ya " the journey " safari kwa kiswahili. Ni mpira maalum ambao umetengenezwa na Adidas huku ukiwa umefungwa kifaa maalum cha kusaidia kugundua offside kwa haraka zaidi.
Michuano hiyo itafanyika katika viwanja vinane ndani ya majiji matano. Kiwanja mojawapo ambacho ni kivutio ni "Stadium 974" ambapo kimetengenezwa kwa kutumia makontena 974 na kitavunjwa punde baada ya kumalizika kwa michuano hiyo.
Vikosi vya timu vitaanza kutangazwa mapema mwezi ujao wa November na kila timu itatakiwa kuwa na wachezaji 26 badala ya 23 kama ilivyozoeleka.
Mechi ya ufunguzi tarehe 20 Nov itamuhusisha mwenyeji ambapo itakuwa ni Qatar Vs Ecuador.
Kwa raundi mbili za mwanzoni katika hatua ya makundi, mechi zitapigwa katika majira yafuatayo; Saa 7:00 mchana, Saa 10:00 jioni, Saa 1:00 Usiku na Saa 4:00 Usiku.
Baada ya hapo, mechi za raundi ya mwisho za makundi, mechibza mtoano mpaka Fainali zitakuwa zikipigwa Saa 1:00 usiku na Saa 4:00 usiku.
Masaa ya Qatar ni sawa kabisa na masaa ya hapa Afrika Mashariki, hivyo muda utakuwa unafanana.
Tutashuhudia mechi zote 64 kupitia DStv. Kwa wale wa kustream, Hesgoal.com itakuwa chaguo sahihi kwako.
Updates zote za vikosi vitakavyoitwa, ratiba za mechi, jezi, uchambuzi na mengineyo utayapata hapahapa kwenye uzi huu.
Karibuni sana...
View attachment 2383805
Ratiba kamili ya Mechi za Kombe la Dunia 2022 Qatar
Kumbuka: Muda wa Mechi ni kwa saa za Afrika Mashariki HATUA YA MAKUNDI RAUNDI YA 16 ROBO FAINALI NUSU FAINALI FAINALIwww.jamiiforums.com
Ingekua inaendelea mpaka saa mojaSpeech ya ufunguzi ni fupi tu yani.Hiyo nafasi ya kutoa speech angepewa Kikwete aijui ingekuaje!?
😂😂😂😂Kama sio DStv potezeaaa
wametumia USD B229Mtangazaji anakwambia hii ndio World Cup ya gharama zaidi kuwahi kufanyika
Watu wanapenda lugha za kwao ili wajitambulisheMfalme si aongee kingleza tuelewe
Hehehehe[emoji23]Speech ya ufunguzi ni fupi tu yani.Hiyo nafasi ya kutoa speech angepewa Kikwete aijui ingekuaje!?
About 120 years to come[emoji23]Vipi watanzania tunaweza na sie au bado tuendelee kungoja kwanza?
Wewe unaelewa.Balaa ni mtwara na kigoma, utazani nchi mbili tofauti
Ingekua bongo hapa the the kama zoteWatu wanapenda lugha za kwao ili wajitambulishe
Walienda Qatar na Tecno pop 2Huyo alosema TBC iko clear mhh 😂😂
Nimerudi zangu 222
Khaaa
Labda TV yangu ndo chimeo