Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mbona niko mwenyeweeNaweka simu chaji macho yote kwenye kijitv changu cha nchi 5, geto pale yangu kama yatima, mbu kibaooo😂😂😂
Kabisaaaa. Ngoja tuone jinsi ball linavyotembeaHujataka kabisa heka heka ya kuwa jikoni na kurudi kuchungulia Tv
Ukimya kidogo kumsikiliza Raisi wa Fifa aliyekuja bongo majuzi kati kwa hisani ya Karia
DahTBC what a quality today
Switch DSTV
South AmericansHawa ikwadoo ni ma black au?
Hawawez kushinda hawa.... Labda robo fainaliUreno watashinda hili kombe.View attachment 2422374