Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ila bado nina wasiwasi Ile haikuwa Offside. Ila basi yaishe. Hiyo 3D yenyewe imetishwa shwaaaaaaaaaa
 
Yani nyie mnadhani FIFA wajinga,mwenyeji kaandaa mashindano alafu aanze kufungwa dk ya pili?acheni masihara [emoji1787],zaidi ya usd bil 200 zimetumika hapo mjue.

Football business haipo hivo kuweni waelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Football is all about money,hapo hakuna cha usimba na uyanga wenu ni business [emoji383][emoji383]
Offside nimeiona baada ya kurudiwa kwa kuchora mstari, Mchezaji alizidi mguu kwenye harakati za kuchomoka
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Aiseee hawa majamaa wako vyedi sana ball linatembea nusu uwanja. Kipa wa ikwado katulia zake
 
Back
Top Bottom