Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hiyu Azif ambaye asili ya utanzania, mpaka saizi sijaona touch yake yeyote ya maana

Uraia wake ni kama wa Kibu tu
 
Me nimecheki Live kwa simu nimekuta kiswahili namba 222

Ngoja nijaribu 223

Kwenye channel 222 unaweza kubadili lugha ikawa english ila 223 still itaongea Kiswahili. Bonyeza option, then scrow kwenye language, then bonyeza help kwenye remote yako, then hapo kwneye default language weka English Original na Alternative language weka English Original then bonyeza back
 
Hahaha raia mnajifanya kuzijua sana sheria (ujuaji wa kibongo), wakati wakileta vipimo inaonekana kamguu kalizii kidogo, huku hakuna mambo ya kibinadamu[emoji23]

Hiyo hapo penalty, hiyo ndio ya halali.
Mkuu Ina maana hujaona kwenye watu waliotumia kupima offside mbele Yao kilikuwa na mchezaji wa Qatar? Hii offside kiufupi sijaielewa
 
Attachments

  • 51581DCF-A238-48E4-8165-37BF193EF834.jpeg
    51581DCF-A238-48E4-8165-37BF193EF834.jpeg
    35.1 KB · Views: 5
Kwenye channel 222 unaweza kubadili lugha ikawa english ila 223 still itaongea Kiswahili. Bonyeza option, then scrow kwenye language, then bonyeza help kwenye remote yako, then hapo kwneye default language weka English Original na Alternative language weka English Original then bonyeza back
Santeee
Nimescreenshot
Umeme ukirudi nitafanya
 
Back
Top Bottom