Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mtu wa mwisho awe kipa au mchezaji wa ndani
Mkuu hujanielewa, yaani hao wenye nyekundu mchezaji wao ndio alikuwa wa mwisho angalia vizuri picha hizo.. sasa imekuwaje offside ilhali timu shambuliwa ndiyo ilikuwa na mchezaji wake mwishoni?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwenye channel 222 unaweza kubadili lugha ikawa english ila 223 still itaongea Kiswahili. Bonyeza option, then scrow kwenye language, then bonyeza help kwenye remote yako, then hapo kwneye default language weka English Original na Alternative language weka English Original then bonyeza back
Kazi nzuri mkuu!
 
Mkuu hujanielewa, yaani hao wenye nyekundu mchezaji wao ndio alikuwa wa mwisho angalia vizuri picha hizo.. sasa imekuwaje offside ilhali timu shambuliwa ndiyo ilikuwa na mchezaji wake mwishoni?
Ndio Qatar 🇶🇦 mchezaji wake wa mwisho hakuwa golikipa na sheria haisemi kuw lazima awe golikipa ..hivo offside inahesabiwa kwa kulinganisha wa mwisho yoyote na yule anayekuja kufunga au mpinzani
 
Hawa watangazi wa kibongo siwaelewi bora wangeweka wa kizungu tu. Kuna vitu muhimu hata hawatangazi wapo busy kupiga story zisizo na maan.Nimeamua kumute tu saut niangakie picha tu
Mkuu nenda option kwenye remote then select language unayotaka
 
Ndio Qatar [emoji1203] mchezaji wake wa mwisho hakuwa golikipa na sheria haisemi kuw lazima awe golikipa ..hivo offside inahesabiwa kwa kulinganisha wa mwisho yoyote na yule anayekuja kufunga au mpinzani
Wengi wamekariri lazima awe Goalkeeper
 
Back
Top Bottom