Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa jamaa wanajua kushangilia bwana, yani wabongo tumezidiwa kila kitu. Wabongo uwaambie washangilie kwa sauti hivyo non stop hata kwa first half, utaokota wengi mno wenye visukari mixer mioyo kufeli[emoji23].

Tutawazidi nini weupe?
 
Wamelipwaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahahah mkuu wala sio kigumu ...ili iwe offside inatakiwa uwepo wa mchezaji aliyezidi mwenzake mbele ya mpira namanisha mpinzani kipindi wanashambulia ...timu inayoshambulia wanahesabiwa wawili either wa kwanza awe kipa au mchezaji mwingine na wa pili ambaye atatumika kupima ka mpinzaji kazidi...so hapo kweli kipa alikuwa katoka na wachezaji wawili wa Qatar walikuwa nyuma ya mbili ila mmoja alizidiwa mguu na Ecuador
Dah, ntafuatilia vizuri huenda Mimi nimekariri mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hawa jamaa wanajua kushangilia bwana, yani wabongo tumezidiwa kila kitu. Wabongo uwaambie washangilie kwa sauti hivyo non stop hata kwa first half, utaokota wengi mno wenye visukari mixer mioyo kufeli[emoji23].

Tutawazidi nini weupe?
Emancipate yourself from Mental Slavery.....
 
Back
Top Bottom