Kwani Qatar kacheza na nani?Ishu alicheza na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Qatar kacheza na nani?Ishu alicheza na nani?
Kuna ambayo inaanza chini ya saa 10 jioni?Kuna mechi 3 kesho.
EcuadorKwani Qatar kacheza na nani?
Kuna mechi 3 kesho.
England vs Iran 16hrs Kwa time ya Tz.Kuna ambayo inaanza chini ya saa 10 jioni?
Okay hapa najua jinsi ya ku manage muda nizicheki zote
Okay hapa najua jinsi ya ku manage muda nizicheki zote
Alafu tbc wanaonyesha moja, siku zote nawaambia usiamini chombo chochote cha Serikali ya Tanganyika
Alafu tbc wanaonyesha moja, siku zote nawaambia usiamini chombo chochote cha Serikali ya Tanganyika
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ila si tunaona mechi mkuu,Alafu tbc wanaonyesha moja, siku zote nawaambia usiamini chombo chochote cha Serikali ya Tanganyika
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
TBCAlafu tbc wanaonyesha moja, siku zote nawaambia usiamini chombo chochote cha Serikali ya Tanganyika
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wataonyesha hio ya Senegal tu, ila DStv zote za mchana na usiku wanaonyesha, Azam sijui km wataonyeshaTBC
Tanzania bado cana
Ecuador na Qatar hawajaachana sanaKwani Qatar kacheza na nani?
Mi nafuatilia kupitia supersport ya DSTV Mkuu, hao TBC na Azam hawajawahi kuwa seriousWataonyesha hio ya Senegal tu, ila DStv zote za mchana na usiku wanaonyesha, Azam sijui km wataonyesha
Hivi South Africa alitoboa kwenye kundi lake?Ila Qatar ndio hamna kitu, huyo south Africa walau anaongeleka
Hawa majamaa wajikite tu kwenye airlines huko naona wanafanya vizuri sana na Qatar airways
Tupeane fixture ya mechi zinazofata na muda
Yes, kwani kutakuwa na mechi moja tu kama leo?
Kitu pekee Mtu mweusi alichogundua ni aina ya mziki wa Rhumba na SingeliMkiambiwa ukweli mnakuja na vipoint uchwara, ila ukweli ni kwamba havitusaidii.
Nimeuliza, tutawazidi nini weupe? Nafikri uweke hata kimoja tu hapa.[emoji23]