Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Uzuri wa Mashindano haya aibu huwa imezoeleka

Tanzania tungepeleka timu hata tungepigwa 5 bila bado isingekuwa noma na wala isingeonekana sisi ni vibonde wa mwisho

Kuna timu humu zitapigwa goli nyingi sana na mtaani kwao mambo yanaendelea kama hakuna kitu kimefanyika
Kufika World Cup tu ni mafanikio tosha
 
Uzuri wa Mashindano haya aibu huwa imezoeleka

Tanzania tungepeleka timu hata tungepigwa 5 bila bado isingekuwa noma na wala isingeonekana sisi ni vibonde wa mwisho

Kuna timu humu zitapigwa goli nyingi sana na mtaani kwao mambo yanaendelea kama hakuna kitu kimefanyika
Timu hizo kushiriki tu ni ubingwa kwao na wakirudi wanafanyiwa sherehe
Siku Tanzania ikishiriki kombe la dunia na ikapigwa 9-0 mechi zote bado rais wa nchi atatoa siku kadha za mapumziko kushereherekea mafanikio
 
Bado una nafasi ya kuvuna mihela

Beti kwa matokeo hayo hayo, na saizi itakuwa bingo kwasababu utapata odds nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130]
 
Back
Top Bottom