Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Goooooooool[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji366][emoji366][emoji366][emoji366][emoji366][emoji366][emoji366][emoji366][emoji366]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ila hili suala la offside naona ingekuwa mtu mpaka azidi mwili mzima au isiwepo kabisa iwe kama tobo dunda mguu kidg tu offiside wtf
 
HuyuHeve Renard no kocha kweli kweli

hawa kina Sanchez na Queiroz wa Qatar na Iran wanakula pesa ya bure ya waarabu

timu zao hata pasi mboili hawawezi piga

Heve Renard ana CV nzuri sana
Saudi Arabia wanachezaa vizuri mno ukilinganisha na waarabu wenzao
 
Back
Top Bottom