Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

kwenye PR wamnefeli aisee, hii world cup wataudhi watu wengi sana
Mkuu inaonekana matumizi ni makubwa ...sema jana hapa walitisha walikata saaa moja wakarudisha saa saba dk 4 wakakata mpka kumi na moja
 
Hawa wanajichanganya. Wanasema kuna upungufu wa maji lakini wanatengeneza mtambo wa megawati 50 wa Kidatu. Sasa wanautengeneza ili wakazalishe umeme kwa maji yapi wakati wanadai Kidatu kuna upungufu wa maji? Au wanatengeneza wakauweke wasubiri mvua za Masika?

Njia ya mwongo ni fupi sana. Tanesco waache siasa na uongo
 
Back
Top Bottom