Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Following.....Tayar nshasema kaka
France anaishia makundi.
Game yake ya kwanza kupoteza ni ya saa nne usiku huu
FTA TBC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nisubiri kama kocha atampa nafasi Fundi Camavinga.Wape nafasi
Daaah poleniSi tupo gizani tunasoma comments.
Yani uyo grizeman Ata kupiga pasi anashindwa Yani kiufupi kocha hii timu imeshindina umo ndani kalundika wachezaji mizigo mitupuNa mbele kamalizia na giroud [emoji2]
KafanyajeMbape 😂😂😂
Mbio nying akili kdgoKafanyaje
Dembele na Mbappe ndo atlst wanapambanaYani uyo grizeman Ata kupiga pasi anashindwa Yani kiufupi kocha hii timu imeshindina umo ndani kalundika wachezaji mizigo mitupu
Sema wakishambulia wana htr na wana waforce ufaransa kufanya errors.Australia wameamua kupaki basi mapema hivi
We jamaa umeme umerudi auAustralia wameamua kupaki basi mapema hivi
Wako wapii??France bila kante na Pogba!View attachment 2424482
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Australia amefunga halafu jez zao zina vinyago kama vya yanga sema vinyago vyao ni advanced
Poleee