Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ujerumani wanazingua sana 😡🤬
20221123_183512.jpg
 
Mashoga yote
Jamaa wanaleta siasa kwenye mpira acha wapigwe tu

Ni kama Iran walikataa kuimba wimbo wa taifa mwishowe wameambulia kipigo heavy


Bado mkoloni uingereza na yeye inabidi atulizwe spidi

Dawa yake ipo jikoni inachemka
 
Back
Top Bottom