Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Cameroon mnamuonaje anaweza kuwa mkombozi wa Africa kama Japan au Saudi kwa Asia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndo zero kabisa kuliko waafrika woteCameroon mnamuonaje anaweza kuwa mkombozi wa Africa kama Japan au Saudi kwa Asia?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]
Hee. Huyu Cameroon ndio rais washirikisho lao alisema hiyo timu itacheza final hii WCCameroon ashalizwa
Mkuu kwamba ni bora Senegal kuliko CameroonHuyu ndo zero kabisa kuliko waafrika wote
Hawana tofauti wanazidiana kukimbia tu ( Senegal walikuwa wanakimbia zaidi)
PS hiyoNaangalia mpira kupitia Tibisii.. mpaka macho yanauma.
Yaani picha zao zinafifia mno! Hamna kitu kabisaNaangalia mpira kupitia Tibisii.. mpaka macho yanauma.
Wanacheza mpira wa kale.Cameroon wavivu sana
Kwa kweli hili jambo inabidi tulifanyie utafiti kama waafrica.Yatakuwa yale yale ya Senegal,Maroc,Tunisia tatizo umaliziaji.
Jina lake ni EmboloJina la mfungaji sasa[emoji134]
Kivipi mkuu?Wanacheza mpira wa kale.
Tujivunie vya nyumbanNaangalia mpira kupitia Tibisii.. mpaka macho yanauma.