Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende nikupeleke uwanjani 🤣🤣Pale mi sikosi aisee
This is africa.....ghana anakufa nyingi iyo gameAndrew ayew anachezeshwa kisiasa tu miguu yake ilishakufa
Sijui ndio makubaliano ya kikao chao?Hizi team zetu hizi hua zinafungwa dakika za mwishoni kabisa!
Ni kama demu akwambie "Nakuja ila hatufanyi kitu"
Halafu dakika za mwisho kitu shwaaa!
Huyu ronaldo anaruka balaa, kwenye swala la kwenda hewani sidhani kama ana mpizani[emoji1].