Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Nasikitika jaman...what is wrong???Nachokiona hapa ni kama Ghana wanaisumbua mahakama lkn mwsh wa sik watatiwa hatiani watafungwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikitika jaman...what is wrong???Nachokiona hapa ni kama Ghana wanaisumbua mahakama lkn mwsh wa sik watatiwa hatiani watafungwa.
Wanajisikia raha sana hawa wapumbavuWamekata uko? Wapi?
Mi naona kama wanaocheza ni level sawa ila wamepishana fitness tuNachokiona hapa ni kama Ghana wanaisumbua mahakama lkn mwsh wa sik watatiwa hatiani watafungwa.
Nampenda sana alitupambania Afrika sema haikuwa rizki
Na mnategemea Ghana washinde[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yan nilidhan Ghana anaweza kua bora lkn hapana mpr huu hata ikitokea wamepata draw wakapita kwa mfano ambao najua sio mfano halisi[emoji23].. Huko mbele watapata dhahama nzito.Nasikitika jaman...what is wrong???
Kastaafu, amehitimu mafunzo ya ukocha.Hivi Gyan kastaafu soka ama?
Sasa hizi ni sifa[emoji1787]
Mpira ulitoka nje ule mbona hata mi nisingewaelewaRonadoooo
Dah
Mbona nyavu zilitingishika?Sio goli
Mtu anaeruka hivyo unamkaba vipi? Ni lazima ionekene kama free header[emoji1].
JamaanMpira ulitoka nje ule mbona hata mi nisingewaelewa