Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaIla portugal wanajiangusha sana
Acha dada acha....Mbona kama kajiangusha😣
Sure kajiangusha kabisaa, huyu refa mwenyewe mshenzi tuMbona kama kajiangusha[emoji21]
Anaboa aiseee.Hili tangazaji linamsifia Ronaldo hadi linazingua na linavojifanya kiarabu kingi binafsi linaniuzi
Huyu mtangazaji w TBC ana mahaba mazito na CR7 lol mpk ameboa sio kwa sifa hizo
Yn kumsifia hd inaboaa khaHuyu mtangazaji w TBC ana mahaba mazito na CR7 lol mpk ameboa sio kwa sifa hizo
Yaani Afrika sijui tumewakosea nini dunia aiseeVioleting African Rights ( V.A.R) imetuonea tu katika hili [emoji26]
Hii penalty Ni ghusi Sana hapo Ronaldo kajiangusha tu mwenyewe
Hakuna wa kutuvusha😂😂😂Haya sasa
Bado mnawasubiri Ghana wawavushe?[emoji1787][emoji1787]
NdiyooMbona kama kajiangusha😣
Kwani goli pekee la anduje kwenye haya mashindano limetokana na nini?Ronaldo jinga unajiangusha