ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Daah...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya mwisho wameingia miaka 58 iliyopitaDuuh ila hao Wales mi ndo nawasikia kwanza kwenye kombe hili toka miaka ya elfu mbili nianze kuangalia
Nan alimuona yule player wa iran aliemkaba kocha kwa furaha[emoji1787]
Kabisa ulikuwa ushatokaHuo mpira mbona kama ulikuwa nje tayari?
Bora kwenu.Dk 10 kabla ya game, wahuni wamechukua umeme wao.
Wasipochapwa kipindi cha kwanza, kipindi cha pili watakuja kivingine.Hawa Wapemba sasa hivi wataachia
Sawa MamaArgentina atolewe kwasababu gani?
Leta sababu otherwise we ni mtu wa hovyo
Viwanja vyao ni vya mpira pekeeHivi viwanja vya wenzetu majukwaa ya mashabiki hayako mbali sana na pitch, ukienda pale Lupaso majukwaa yako mbali kweli na pitch[emoji51].
Kuna watu wasio wa imani ya kiislamu na walikuwa upande wa Iran kwasababu ya burudani ya kimpira au kwasababu walikuwa hawaitakii mema Wales, haya mambo uliondika hapa ni ya kijinga, hata kama yanaweza kuwa na maana kwenye imani yako.