Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri pira la Saudia pira tende pira kahawa, Argentina walikalishwaHATA HAPO WANAKOSA WANAPAPARA MNO
Labda afanyiwe fair kama jana England alivomfanyia USAHuu Msemo wa Never Write Off the Germans haukusemwa tu watu wajifurahishe, hawa jamaa wameshachukua Kombe, time and again wakiwa na Timu Mbovu na Mpira usiovutia.....
Kuna Kipindi walikuwa wabovu kinoma ila Oliver Kahn akawabeba mpaka Fainali.....
Nakwambia wanapapara wanapasuliwa jingine siyo muda! Weeh subilri utaona!Subiri pira la Saudia pira tende pira kahawa, Argentina walikalishwa
Hostadh Abdallah Almarik anaupiga mwingi sana, subiri goli mkuuNakwambia wanapapara wanapasuliwa jingine siyo muda! Weeh subilri utaona!
We ulitakaje kwani?Ooh Saudi ooh Saudi
Hayaaaa cha pili hicho kitamuuu
Umenielewa sasaEeeh goli tena Rewandowski
Nakwambia wanapapara wanapasuliwa jingine siyo muda! Weeh subilri utaona!Umenielewa sasa
Gemu inaisha sasaNakwambia wanapapara wanapasuliwa jingine siyo muda! Weeh subilri utaona!