Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Yes clearOffside
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes clearOffside
Wasijisahau sanaMorocco leads 1...
Offside mkuuWasijisahau sana
Ila Kipa naye ni kama zile deki za VHS
Hii 3D preview kama imeshindkana kununuliwa basi tuiibe tu
Hakuna kitu kinaniuma kama refa wa Portugal vs Ghana kukataa kuangalia VAR.VAR kazini
Akifunga muafrica ndo huwa goli linaenda kuchunguliwa[emoji23][emoji23]Hakuna kitu kinaniuma kama refa wa Portugal vs Ghana kukataa kuangalia VAR.
Nafikria wanao toa mwongozo wa VAR ni wale wa ndani kabla ya refa hajaamuaHakuna kitu kinaniuma kama refa wa Portugal vs Ghana kukataa kuangalia VAR.
Hivi hii sheria mbona nilisikia huwa wanaangalia mguu kichwa au bega sasa mbona hapo ni mkono umezidi wamefuta goli
Daah hii isije bongo
Sijaifatilia kwa undani nisiwe muongoHivi hii sheria mbona nilisikia huwa wanaangalia mguu kichwa au bega sasa mbona hapo ni mkono umezidi wamefuta goli
Bongo ipi mkuu?Daah hii isije bongo
Kuna timu zitakosa ubingwa kwa miaka mingi
Wanaangalia biznez yao isije ikatokea kwa bahati mbaya fainali yuko ghana na denmarkAkifunga muafrica ndo huwa goli linaenda kuchunguliwa[emoji23][emoji23]
hahahaahhahaha..Nakataaa, napinga, nasigina..Germans wanakufa leo awahi kutoka akashiriki vema kampeni za ushoga. We huoni kama watachelewa wakiendelea?
Kama mimi...Can't wait to watch Spain saa 4Alinipigia mtu 7 babaa, hiyo siku nilikua nina furaha sana [emoji23][emoji23][emoji23]