Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hili swala la mabeki kubutua mipira mbele hovyohovyo ni mchezo wa kizamani sana, hii ni sawa na wao kuwa sehemu ya team ya Serbia kwasababu wanasaidia Serbia kumiliki mipira kila wanapoipoteza.


Wanajikaba wenyewe, na muda si mrefu watawaka.
Game plan mbovu
Badala ya kumiliki mpira unampa mpinzani nafasi ya kukushambulia
 
Back
Top Bottom