atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Tanesco wa qatar wamestua kdgo nani kaona[emoji38][emoji38][emoji38],ama sjui nan kazima taa zile
Yaa taa zilizima [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanesco wa qatar wamestua kdgo nani kaona[emoji38][emoji38][emoji38],ama sjui nan kazima taa zile
Kwani bocco hajafungwa hattrickBoko huyuhuyu anaekata kona kama treni la Mwakyembe?
Hebu jiheshimu basi.
[emoji1][emoji1][emoji1] dah pole sanaTujiandae kisaikolojia wale tuliobet
Sa si umeona hata mwenyewe umeonesha kutokubaliana na Bocco kwenye maswala ya konaBoko huyuhuyu anaekata kona kama treni la Mwakyembe?
Hebu jiheshimu basi.
Kuna namna[emoji41]Yaa taa zilizima [emoji3][emoji3]
Design km pengo la Naymar linaonekana adseBrazil ni Neymar awa wengine takataka tu
Sema tusiwadharau uswizi
Eder Militao ni beki anayetumia sana akili ...na kwenye mechi km hz ni muhimu sana kuanzaMiltao anafanya nin uwanjan