Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ghana tia maji tia maji wale mafaza wakina ayew brothers partey na inaki na sio wa kuanza tena wanacheza kifqza sana
Hata,sijaangalia nimeona tuu matokeo..so leo hawajawasha ule moto kama waliocheza juzi?
 
Brazil wawe makini sana,wako overrated sana,na Uswis wanajua hilo,(Uswis)watatake wakaze ili waweke heshima.
 
Back
Top Bottom