Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
5 kwa 3kwani ngapi ngapi wajumbe😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5 kwa 3kwani ngapi ngapi wajumbe😂😂
🤣🤣🤣🤣Kwanza hii VAR ya world cupnsiielewi kabisa. Tumezoea epl, laliga nk.
Hii siielewi kabisa
0-0kwani ngapi ngapi wajumbe[emoji23][emoji23]
Star times tbc zipo mbili moja imeandikwa "TBC" na nyingine ni "TBC HD" hiyo ya pili ipo clear kuliko ya kwanza..sijui kwenye vingamuzi vingine Hali ipojeya dstv mbovu balaa. ila channel nyingine ipo clear
foward kibu au🙄5 kwa 3
Huyu aligusa mpira akiwa offside ndo maana goli la Vini likakataliwa.Maombi uamejibiwa
Kumbe wewe ni kocha professional 🤣🤣
Corner ndiyo5 kwa 3
Hatari!Mali imeliwa,pole sana
Najua basiMiltao anafanya nin uwanjan
Uliposema G Jesus aingie na akaingizwa ndo nikakuandikia kwamba ombi lako limejibiwa. Nikauliza na ww ni kocha?Huyu aligusa mpira akiwa offside ndo maana goli la Vini likakataliwa.
Yaah maneno haswaBrazil hakuna team maneno tu
Mimi mpenda football tu.Si kocha. Mimi ni observer.Uliposema G Jesus aingie na akaingizwa ndo nikakuandikia kwamba ombi lako limejibiwa. Nikauliza na ww ni kocha?
Hakuna kocha apo ameona tu sababu wanacheza number mojaUliposema G Jesus aingie na akaingizwa ndo nikakuandikia kwamba ombi lako limejibiwa. Nikauliza na ww ni kocha?
Yuko vizuri kwenye uchambuziHakuna kocha apo ameona tu sababu wanacheza number moja