Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kule visiwani commoro alipoenda akapiga zile pic za kishoga hukuona eeh
Turudi mpirani kikubwa anawapatia raha dimbani mengine yake
Sasa ndugu yangu unadhani zile picha alipiga private kisha zikasambaa bahati mbaya? Picha zingine zinazoashiria kuwa jamaa ni gay ziko wapi?

Watu ambao wanapromote issue za ushoga wanatumia pesa nyingi sana kujaribu kuaminisha watu kuwa ni Jambo la kawaida

kuna baadhi ya mastar au watu wenye ushawishi mkubwa duniani hutumika kutengeneza controversial events kisha hizo events au pics kuwekwa kwenye majukwaa Yao, either website or magazine

Hawa watu maarufu sana duniani kila wanachofanya ni pesa, ukiishi Kwa kujudge maisha ya watu kupitia picha basi dunia ya leo kila mtu atakuwa gay

Mfano ni Kwa WizKid kupitia cover ya album yake ya made in Lagos, wengine kuona tu lile pozi aliloweka teyari wameanza kumshtumu kuwa jamaa ni gay bila kuwa na issue yoyote ile katika kuthibitisha hilo

Yani kupitia picha tu watu wana conclude hisia zao na kuaminisha watu wengine kuwa mawazo yao ni sahihi

Anyway, Vipi na hizi picha za ndugu yetu La Pulga zilipotoka na kutumika kwenye website za watu wa upinde uli judge vipi mwenzetu
images%20(3).jpg
 
Back
Top Bottom