Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha basi mtu afurahie umwamba wakeBora kwa kweli.Ronaldo aliruka pale na kujipa sifa. Ndo maana simpendi. Yaani siku hizi analazimisha.
Bora umewaambiaHaters wa Ronaldo kunyweni panado. Maneno meeengiii kama chiriku mnaboa. Angalieni mpira chuki zenu hazimpunguzii mbio
Huyu nae ananirudisha Younde mimi nilishatoka hukoHahah mbona umemkomalia Dr. Victoria
Kikubwa ushindiBrunooo safi.Ila Ronaldo atakuwa kakasirika sana.
Atafunga na kombe atachukua sawa madam?Brunooo safi.Ila Ronaldo atakuwa kakasirika sana.
Huyo hata kocha akimwomba apumnzike atakataa.Maana anatamani kuvunja record ya Eusebio.Kikubwa ushindi
Uzuri kuna mechi ya bonanza dhidi ya Korea
La wapo,kabla anatakiwa amfunge Brasil au Spain humo njiani.Atafunga na kombe atachukua sawa madam?
Kuna binadamu asiye na tamaa?Huyo hata kocha akimwomba apumnzike atakataa.Maana anatamani kuvunja record ya Eusebio.
Tatizo la huyu mchezaji wangu pendwa ndio liko hapoBrunooo safi.Ila Ronaldo atakuwa kakasirika sana.
Man U inawakilishwa na nani?Man u inawakilishwa vyeeemaaaaa
Kulikuwa na penati alikosa?Penalt,Ronaldo ana gundu.