Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafunga kitandani wakiwa na wake zaoHawa tunisia wanaweza tolewa world cup hawajafunga goli kabisaaa
Unamaanisha nini? Varane ndiye nahodha msaidizi wa Ufaransa asipokuwepo Hugo Lloris uwanjani.Hii mechi daah hadi varane kawa captain
It sounds kama unamuongelea mwanamke....Waafrica hamna kuwaachia ni kuwakaziaa tuu maana wao hawakuachii ukiwa huku africa wanakuminya tuu ata kama boli unalijua. Mwafrica sio wakumuonea hurumu ni wakukandamiza tuu
Hakika...maana bao la uwanja wa 110 kwa 68 hawaweziWatafunga kitandani wakiwa na wake zao
Unamaanisha hivi mkuu?Angekiwa refa wa bongo na kwa jinsi matumizi ya nguvu yamekuwa mengi kwenye mechi hii, kila tukio angekuwa anapiga filimbi mpaka mashavu yamvimbe
Waafrika sue sio wakuonewa hurumu niwakuburuzwa tuu. Tunatia aibu tuu. Huko mbinguni sie ndio comedy show yaoIt sounds kama unamuongelea mwanamke....
Maana mnasemaga mwanamke si wa kumuonea huruma.
Inapendeza France wakikutana na Argentina ili tushuhudie mechi ya kisasi.
Swala la uelewa tu nadhani wakielekezwa watabadili.Kwanini DSTV wanaweka, Swahili na Kiswahili ni Lugha Mbili Tofauti?
Sio rahisi...japo inawezekanaMfaransa atapigwa na kitu kizito
Unamaanisha nini? Varane ndiye nahodha msaidizi wa Ufaransa asipokuwepo Hugo Lloris uwanjani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo upate darasa, yaani michuano hii ukikaa ba mwanamke unaweza kuikimbia TV wallah![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ushaacha kutupia clip za magoli mkuu??😀Nafurahia Manchester united tupo vizuri