Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
daaah alaaniwe TCRA aliyekaa kimyaNdio mkuu niliacha. Tatizo mb zimepunguzwa nitafilisika nikirusha zile GIF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaah alaaniwe TCRA aliyekaa kimyaNdio mkuu niliacha. Tatizo mb zimepunguzwa nitafilisika nikirusha zile GIF
Wewe ukijiondoa hakuna hasara mkuu😆Akifunga iyo najiondoa JF
Sio unarudi na ID nyingine?Akifunga iyo najiondoa JF
SirudiSio unarudi na ID nyingine?
Baki na akiba za maneno, maana hilo limtu ni heri ulibague kimya kimya tu kuliko kulitangaza humu utashangaa ndipo litafanya vizuri hadi uduwaeAkifunga iyo najiondoa JF
[emoji16] watu watanimiss tuWewe ukijiondoa hakuna hasara mkuu[emoji38]
Awezi mkuuBaki na akiba za maneno, maana hilo limtu ni heri ulibague kimya kimya tu kuliko kulitangaza humu utashangaa ndipo litafanya vizuri hadi uduwae
Irabu ni nini mwalimu wa vishazi tasaSema hizi surname za kipoland za kibabe sana. Jina lina herufi hata 8 halafu humo kuna irabu hata 1 tu
Nunua DStvHivi ukiacha tbc na DStv,channel gani zingine zinaonyesha Mechi? Naona tbc hawaoneshi Mechi Hawa wasengerema
Nunua DStv
Mechi ya leo inapigwa kwenye uwanja 974 uliotengenezwa kwa makontena