Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #12,621
Kipindi cha kwanza Rais wa FIFA Infantinno alikuwa kwenye mechi ya Argentina sasa hivi kaenda kwenye mechi ya Mexico...Class
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limepigwa goli kali sana la faulo...narudia tena kali sanaMexico Mbili hukooo
Kwetu ni furaha tuuu hakuna makasirikoo
Hivi anatumia usafiri gani kwenda huko?maana alianzia mechi ya Tunisia [emoji1249] vs France [emoji632]Kipindi cha kwanza Rais wa FIFA Infantinno alikuwa kwenye mechi ya Argentina sasa hivi kaenda kwenye mechi ya Mexico...Class
Argentina anapita ila kwa mateso makali😂😂😂, akumbuke sare inaweza kuwa si salama kwakeNi kweli
Ila nadhani ajentina na poland watapita.
Hawa wengine tia maji tia maji nyingi mno
We unaongea nini? Mechi unasikiliza kwenye redio ya tecno?Mexico uhakika, nyie wa-aljentina wa Buza bado mnapumulia mashine tu.
Viwanja vipo karibu. Sio kama nchi zingine kiwanja utakuta kipo Dar kingine Moro au Dodoma.Hivi anatumia usafiri gani kwenda huko?maana alianzia mechi ya Tunisia [emoji1249] vs France [emoji632]
Mdogo mdogo tunaweza ingia fainaliBasi isipitilize ikawa karaha bure furahia kwa kiasi
Ya Mexico?Freekick bora sana ya mashindano mpaka sasa