Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ramli chonganish ila nzuri sanaRoute to World Cup 2022 Final
View attachment 2432888
Nipo mbona
JidanganyeHawa Japan Ni Kama wameiogopa Barcelona na Messi hayumo hata [emoji23]
🤣🤣🤣🤣Ndo mimi nmekuja kivingine babe[emoji846]
Tafuna popcorn Vant inakataOohps... Hizi K-vant ni noma! Sorry for disturbing...
Huyo aliekupa statistics hizo ni kilaza au ana mihemko
Japan wanajua kutengeneza magari tu mpira wamevamia[emoji23]Hawa Japan Ni Kama wameiogopa Barcelona na Messi hayumo hata [emoji23]
Watu poa ni kama wewe hamna baya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha bwana panic bwanabonq coca sio mtu mbaya kiviile? Huwa sio mchokozi why umtukane?
Naaikia Kuna Ndugu Wa Damu, Mmoja Spain, Mwingine Ghana [emoji1110], Naomba Kutajiwa Tafadhali
😍😍😍Watu poa ni kama wewe hamna baya
Hebu tusibishane bwana... tuendelee kuwatch mpira..kama ndo hivyo endeleeni kukatiwa umeme mnalifilisi Taifa.Wewe ndo una mihemuko umeme wa sinza ndo matumizi ya Dodoma nzima.
Wewe ni cocastic?Nipo mbona
Majamaa wamekuwa watalii tu uwanjani mpaka game imekosa ladha kbsa.Wajapani wanapelekewa moto hadi huruma
Warudi tu kwao wakatutengenezee Toyota