Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo wanaongoza group kwa sasa.Hao Japan walishindwa tumia nafas yao game ya Costa Rica kufuzu ngj warud kwao wakafanye shughuli za kiuchumi tu.
Route to World Cup 2022 FinalView attachment 2433001
Updated
Inaweza ikawa mipango hiiSpain wanafurahi maana wanaukwepa upande alipo Argentina na Brazil.
Hawezi kumfanyia mzungu mmagharibi mwenzie. Ni ubora tu wa JapanSpain anafanya match fixing [emoji16]
Inaweza ikawa mipango hii
Haina Radha, Unatumia Star Times Nini?hii mechi ya Japan na Hispania haina hta radha..
Yap,ila ikitokea Costarica akishinda kule basi Spain wanatoka.Inaweza ikawa mipango hii
Nawaombea ushindi wavimba macho (Japan) japo wakifungwa sintakua na chakupoteza.
Costa Rica karudisha uko
Anawakwepa Brazil na Argentina.Spain anafanya match fixing [emoji16]