Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Mpr acha uitwe mpr nasema mpr acha uitwe mpr.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sioni kama Spain anafix, nachoona ni kuwa anapelekewa moto haswa.Bora afungwe watoke wote.Maana Spain anafanya kusudi ili ashike number 2.
Na ndicho kinalichopo kwa sasa. Spain anaudhi sana.Mara Japan kashinda na Costa Rica kashinda 😀
Vigogo Spain na Germany nje
Wayaaaaaaa
Nimeenda kulala kusikiliza radio ya chumbani eti Japan 2 ikabidi nirudiKhaaaaa nlitoka kidogo tu nmekuta mtu kashakung'utwa imekuaje jaman ujerumani hoi nao
Waendelee kupanga matokeo a.k.a wazee wa kufix😀😀😀Spain na Germay kwa sasa wote wametolewa.Ila lolote lavez tokea mpira haujaisha.
Mkuu nakuunga mkonoHii world cup ya msimu huu ndio bora zaidi kuwahi kutokea.
Sema Spain anaweza kupita akichomoaaa tu anafuzubasi german apigwe tu watoke na shoga ake spain
Hata mimi natamani. Maana Spain wamefanya ujinga ili washike no 2.Stupid kabisa.Ebwanaeeeehh jaman matokeo yabak iv iv....kuna mdau aliandika kule juu...mara pap spain katoka