Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Ni bora tu wangepigwa wakatoka wote kuliko kushinda kwa manufaa ya wengineNimesikitika mno kutolewa ujerumani,,,Kundi hilo nilitamani mno mjerumani na spain wapite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora tu wangepigwa wakatoka wote kuliko kushinda kwa manufaa ya wengineNimesikitika mno kutolewa ujerumani,,,Kundi hilo nilitamani mno mjerumani na spain wapite
Check hapaView attachment 2433212Kuna uwezekano Fainali ya 1998 kati ya France vs Brazil ikajirudia, lakini awamu hii Brazil hii hii akainua kombe juu.
Urojo kivipi?Leo Ghana natamani apite ila naona kabisa hata draw hawatapata.....beki zao urojo mno
Zinavuja mnoUrojo kivipi?
Ni bora tu wangepigwa wakatoka wote kuliko kushinda kwa manufaa ya wengine
Urojo unaujua lakini? Una mazagazaga kibao!Leo Ghana natamani apite ila naona kabisa hata draw hawatapata.....beki zao urojo mno
AiseeeeeBrazil anaweza kuchukua ila underdog ninaempa nafasi ya kushangaza na kufika mbali ni Canada. Mtanikumbuka baadae
Ww kijana Ghana anashinda leo tatu kwa 1Leo Ghana natamani apite ila naona kabisa hata draw hawatapata.....beki zao urojo mno
Ukisema hivyo inatakiwa ukumbuke pia Japan alimpiga hata huyo mjerumanSiamini kama Japan ameweza kumfunga Spain. Kuna mbinu imechezwa hapa kumkata Mjerumani
Naweza kuamini ilikuwa fixed.Mnaosema mechi ya spain ilikua fixed msituchore asee....alikua anaenda kutoka sema huruma za wajerumani zimewabeba ..Wao sio wajinga kuji risk ivyoo
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mpira chini unakuwa mwembamba na kati una mahips, camera ya chini inaonesha chini ya mpira umetoka, lakini mahips ya mpira bado yalikuwa kwenye line, camera ya Juu ya var imeonesha mpira haukutoka.
Ayo sasa yatakuwa zaidi ya maajabuWw kijana Ghana anashinda leo tatu kwa 1
3/1
Endelea kutokuamini. Tena vile vizee vya Croatia [emoji1082] vitajuta.Siamini kama Japan ameweza kumfunga Spain. Kuna mbinu imechezwa hapa kumkata Mjerumani
Leo unipe update za ghana nitakuwa mbali na duniaNko poa dear
Npange...
Zimevuja lini?Zinavuja mno