Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Lazima atachezesha refa wa ulaya, anaweza hata kuwa wa Switzerland...Nina wasiwasi Fainali ikachezeshwa na MuitalianoAkichezesha Mjerumani mbona atatuua kwa hasira za wao kutolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima atachezesha refa wa ulaya, anaweza hata kuwa wa Switzerland...Nina wasiwasi Fainali ikachezeshwa na MuitalianoAkichezesha Mjerumani mbona atatuua kwa hasira za wao kutolewa
Wakikutana atamtoa kwa hakika. Argentina sio Wazuri saana...haina beki nzuri.Kimbembe kipo je Brazil atamtoa Argentina ?
Tusubiri tuoneDuh sometimes kuna watu wanajua kujitoa akili hehehehe Netherlands [emoji1179] ipi ya kumfunga Argentina [emoji1033]?hehehehehe tuwe serious sometimes
Me mwenyewe niko mbali Leo asubuhi mpaka sunsetLeo unipe update za ghana nitakuwa mbali na dunia
Dah we unaangaliaga live score tu au? Ile mechi ya Korea wamepigwa goli Za kizembe mno...angalia na Yale magoli ya ureno ukitoa lile LA ronaldoZimevuja lini?
Kwaiyo korea ndo wanabeki kuliko ghana?Dah we unaangaliaga live score tu au? Ile mechi ya Korea wamepigwa goli Za kizembe mno...angalia na Yale magoli ya ureno ukitoa lile LA ronaldo
Sawa nakubari babeMe mwenyewe niko mbali Leo asubuhi mpaka sunset
[emoji3][emoji3][emoji3] huwa unanifurahisha sana Our Fabrizio Romano wa JF.Huwa una exclusive ambazo wengi wetu hatuna.Yes ,it was said even before. The news were everywhere.
Imebidi nimwite yeye ni Fabrizio Romano wa JF.Maana kila 'exclusive news' anayo yeye kabla hata ya FIFATuonyeshe hapa hiyo habari. Yaani hadi wewe umeipata Fifa wakae kimya?
Route to the World Cup 2022 Final
Updated
View attachment 2433071
Game approach mzee! ndio iliyofanya Saudi akamfunga Argentina!.Mind you techinically and tactically Argentina ni tough kuliko waholanzi, hata kwa mchezaji mmoja mmoja tu.Ukumbuke pia Argentina iliyobondwa na Saudia ndo imfunge mholanzi?
Spain & Argentina hawafiki Fainali.
Tupo hapa.
Argentina sijui wanamchuliaje asee!Ndio nyinyi mliokua mnasema havuki makundi [emoji23][emoji23]
Kuna kiungo kama Dejong Argentina?Game approach mzee! ndio iliyofanya Saudi akamfunga Argentina!.Mind you techinically and tactically Argentina ni tough kuliko waholanzi, hata kwa mchezaji mmoja mmoja tu.
Wakikutana atamtoa kwa hakika. Argentina sio Wazuri saana...haina beki nzuri.
Kuipita beki ya Brazil na kufunga ni shughuli sio kidogo
Wa kawaida mno mkuuArgentina sijui wanamchuliaje asee!
Wa kawaida mno mkuu
Najua ata nikikwambia utaje kikosi choa Bila Google huwezi
Uyo kasema Argentina ina majina kuzidi uholanzi ndo nilikuwa nabishaNdo nyie mnaofikiri timu ni majina, Japan hawana majina lakn kamfunga Spain na Germany bila kusahau Saudia.