Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikuwa na wasiwasi sana. Nilishajua atakosa kwani alikuwa kama amenyeshewa mvua.Penalty kama hio na pressure kubwa kama hii usimpe star mpe dogo yoyote tu.... Sio kazi rahisi kwa Star ku-convert...
Ghana wamekosa penalty na nitafurahi kwa Ghana akitoka
Hovyo Timu hazina utimamuTimu za kiafrika stress sana
Ndio ishatoka hyo kwishneyDuh! Mi naona tukipoteza hi mechi aisee!